Draw ya kupanga makundi mawili ya timu zitakazo cheza katika kuwania nafasi ya kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho Afrika imetoka ndiyo hii.
Timu ya Tanzania bara klabu ya Yanga ipo Group A itapambana na timu za TP Mazembe (Congo DR), MO Bejaia (Ageria) na Medeama (Ghana).
Kundi B litakuwa na timu za Etoile du sahel ya Tunisia, Kawkab Marrakech ya Morocco, FUS Rabat ya Morroco na Al Ahli ya Libya
0 comments:
Post a Comment