Shirika la Kuhudumia Wakimbizi limeelezea tukio hilo kuwa ni jaribio la Wahamaji wengi kutoka nchi mbili za Kiarabu kuingia Italia katika kipindi cha mwaka mmoja.
Aidha tukio hilo linaonesha kuwa wimbi la wahamiaji linabadili mwelekeo.
Kwa njia iliyokuwa ikitumika ya kupitia Ugiriki mpaka nchi za Balkani ambayo sasa imefungwa, inaoneka wengi sasa wanailenga njia ya kupitia Mediterranea, ambayo inapitia Misri na Libya mpaka Italia.
0 comments:
Post a Comment