Monday, 16 May 2016

RATIBA YA SERENGETI BOYS KATIKA MICHUANO YA INDIA IMEKAA HIVI.....

maishatm.blogspot.com
KIKOSI CHA SERENGETI BOYS, KIKO NCHINI AMBAKO KINASHIRIKI MICHUANO MAALUM NA JANA KILICHEZA MECHI YA KWANZA NA KUPATA SARE YA BAO 1-1 DHIDI YA MAREKANI. HII NI RATIBA YA MECHI ZAKE ZINAZOFUATA KATIKA MICHUANO HIYO YA VIJANA.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 

MAISHA TM Copyright © 2012 Template Designed by BTDesigner Published..Blogger Templates· Powered by Blogger