Varane Pia ataukosa mchezo wa fainali ya kombe la klabu bingwa ulaya utapigwa Mei 28 kati ya timu yake ya Real Madrid na Atletico Madrid.
Mchezaji huyu atakua nje ya uwanja kwa muda wa wiki tatu mpaka nne na nafasi yake kwenye kikosi cha taifa imechukuliwa na beki wa Adil Rami, mwenye umri wa miaka 30 anayeichezea timu ya Sevilla ya nchini Hispania.
0 comments:
Post a Comment