Snoop Dogg anajipanga kudondosha albamu yake mpya Julai 1.
Albamu ya mwisho ya Snoop Dogg ilikuwa ni ‘Bush’ aliyoiachia Mei 12 mwaka jana chini ya lebo yake ya Doggystyle Record, I Am Other na Columbia Recoerd huku mtayarishaji wa albamu hiyo akiwa Pharrell Williams.
Kutokana na ujio wa albamu hiyo mpya, Snopp Dogg amesema, “Some of the stuff that I’ve been working on lately just kind of felt like an updated version of that old Death Row sound, kind of an updated G-Funk. I just started working on these tracks and they had a lot of those similar elements, just felt like newer versions of that feeling.”
Baada ya kuachia albamu hiyo, Mei 20 Snoop Doggy ataanza ziara yake aliyoipa jina la “The High Road Tour” ambayo ataambatana na Wiz Khalifa.
0 comments:
Post a Comment