
KIkosi
cha Simba kimeendelea na mazoezi yake kambini Dege Beach ikiwa ni
kujiandaa na mechi yake ya mwisho ya ligi dhidi ya Mwadui ya Shinyanga.
Baada
ya mechi dhidi ya Stand United na kuibuka na ushindi wa mabao 2-1.
Wachezaji wakapewa mapumziko ya siku mbili na baada ya hapo, Jumatatu
kazi ikaanza.
Kikosi
hicho kimekuwa kikiendelea na mazoezi kujiweka fiti pia kwa ajili ya
mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Mbao FC, wikienda ijayo
mjini Dodoma.
0 comments:
Post a Comment