Friday, 2 June 2017

Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari arusha waaswa kuzingatia somo la computer


Wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha wameaswa kuzingatia mafunzo ya vitendo hasa katika soma la computer
 Hayo yamesemwa na mkufunzi wa chuo hicho bw Agustino Massawe maapema leo hii wakati akizungumza na wanahabari
 Hata hivyo bw Agustino massawe amesema wanafunzi walio wengi wamekuwa wakisahau kabisa somo la computer na kuliona kama ni la ziada.
 Ameongeza kuwa somo la computer ni somo linalo weza kuwapa ajira kwa siku za baadae.
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 

MAISHA TM Copyright © 2012 Template Designed by BTDesigner Published..Blogger Templates· Powered by Blogger